WALEZI WA WATOTO WALEMAVU WAPONGEZWA
Walezi wa watoto walemavu wapongezwa.
Shirika la Action laanda kongamano hilo.
Shirika hilo limewataka walezi hawa kupokea masomo ya ziada ili kuwawezesha kutoa huduma haya bila kutatizika.#TV47Matukio@Kilemi_Andrine pic.twitter.com/5J3klKbDxk
— TV47 (@tv47news) July 4, 2024